vic_logo
coronavirus.vic.gov.au

Biashara na kazi (Business and work) - Kiswahili (Swahili)

Vizuizi na msaada wa biashara ili kukusaidia kupanga na kujibu kwa virusi vya corona (COVID-19).

Unaweza kupata habari zaidi kwa wafanyakazi na watafuta kazi na wenye biashara na mameneja katika Kiingereza kwenye kurasa yetu ya Biashara na kazi.

Ikiwa unahitaji msaada zaidi katika lugha yako, unaweza kupiga simu TIS Taifa kwenye 131 450 na ombe kwa mkalimani, ndipo omba kuunganishwa na Biashara Viktoria kwenye 13 22 15.

Reviewed 06 November 2020

24/7 Coronavirus Hotline

If you suspect you may have COVID-19 call the dedicated hotline – open 24 hours, 7 days.

Please keep Triple Zero (000) for emergencies only.

Was this page helpful?