vic_logo
coronavirus.vic.gov.au

Makazi (Housing) - Kiswahili (Swahili)

Msaada na habari juu ya makazi kwa wapangaji na wenye nyumba.

Unaweza kupata habari zaidi katika Kiingereza kwenye kurasa yetu ya Makazi.

Ikiwa unahitaji msaada zaidi katika lugha yako, unaweza kupiga simu TIS Taifa kwenye 131 450 na ombe kwa mkalimani, ndipo omba kuunganishwa na Simu ya haraka ya virusi vya corona (COVID-19) kwenye 1800 338 663.

Reviewed 06 November 2020

24/7 Coronavirus Hotline

If you suspect you may have COVID-19 call the dedicated hotline – open 24 hours, 7 days.

Please keep Triple Zero (000) for emergencies only.

Was this page helpful?