vic_logo
coronavirus.vic.gov.au

Usalama (Safety) - Kiswahili (Swahili)

Habari ya kusaidia wewe na familia yako kukaa salama wakati wa virusi vya corona (COVID-19).

Unaweza kupata habari zaidi katika Kiingereza kwenye kurasa ya mwanzo ya Virusi vya Corona (COVID-19) Victoria.

Ikiwa unahitaji msaada zaidi katika lugha yako, unaweza kupiga simu TIS Taifa kwenye 131 450 na ombe kwa mkalimani, ndipo omba kuunganishwa na Simu ya haraka ya virusi vya corona (COVID-19) kwenye 1800 338 663.

Kutoroka vurugu za kifamilia (Escaping family violence)

Wewe unaweza kuondoka nyumbani kwako ili kutoroka  vurugu za familia na kutafuta msaada wakati wowote , bila kujali vizuizi vilivyopo kuhusu kuzuia kuenea kwa virusi vya corona. Hutapata faini. Kama ukisimamishwa na polisi, waambie kuwa unajihisi hauko salama nyumbani na watakusaidia. Pigia simu kwenye nambari Sifuri Tatu (000) au wasiliana na safe steps ambayo ni huduma ya vurugu za familia ya 24/7 kwenye nambari 1800 015 188, barua pepe safesteps@safesteps.org.au au zungumza mtandaoni katika tovuti ya  www.safesteps.org.au/chat

Reviewed 17 November 2020

24/7 Coronavirus Hotline

If you suspect you may have COVID-19 call the dedicated hotline – open 24 hours, 7 days.

Please keep Triple Zero (000) for emergencies only.

Was this page helpful?